INAUZWA Nauza Kisembuzi cha DStv used full set

Elon Mzebuluni

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
225
Reaction score
139
Niko Mbeya
Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928
Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
 
Ni ngumu kwa bei iyo kupata mteja mkuu maana dstv full kwa sasa mpya ni Tsh. 99000.unapata full set na pia unapata ofa ya kifurushi miezi 2 bure.

Sasa iyo elfu 85 + ukilipia kifurushi miezi 2(38000)=Tsh123000.
Hapo mkuu utakuwa mujumu uchumi

Kaka sijajua vizuri kuvitofauyisha kitaalam

Ika kuna cha 299,000 na hicho cha 99,000 yawezekana cha mleta mada ni cha 299,000 ndio anauza 85,000
 
Sidhani, huyu muuzaji ana tamaa tu au huenda atawashika hao wakukaja.... si unaona alivyo mjuaji hadi bolts na nuts eti anafanya kama anakuongezea as if zilipaswa kuuzwa tofauti.
 
Dstv wanachotoa kifurushi cha kuanzia ni Family (29,000.) kwa miezi miwili. Ukitoa kwenye (99,000.) sawa dstv wanauza kwa (41,000.)

Ni ngumu kwa bei iyo kupata mteja mkuu maana dstv full kwa sasa mpya ni Tsh. 99000.unapata full set na pia unapata ofa ya kifurushi miezi 2 bure.
Sasa iyo elfu 85 + ukilipia kifurushi miezi 2(38000)=Tsh123000.
Hapo mkuu utakuwa mujumu uchumi
 
Ni ngumu kwa bei iyo kupata mteja mkuu maana dstv full kwa sasa mpya ni Tsh. 99000.unapata full set na pia unapata ofa ya kifurushi miezi 2 bure.

Sasa iyo elfu 85 + ukilipia kifurushi miezi 2(38000)=Tsh123000.
Hapo mkuu utakuwa mujumu uchumi
Unanishauri niuze bei gani mkuu?
 
Niko Mbeya
Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928
Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
Sold
 
Back
Top Bottom