Elon Mzebuluni
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 225
- 139
NatumaDsm unatuma?
Pebibyte mojaRAM yake ngapi?
Hicho hakitaendana na TV yangu hii.Pebibyte moja
Nilikuwa natafuta hii commentNi ngumu kwa bei iyo kupata mteja mkuu maana dstv full kwa sasa mpya ni Tsh. 99000.unapata full set na pia unapata ofa ya kifurushi miezi 2 bure.
Sasa iyo elfu 85 + ukilipia kifurushi miezi 2(38000)=Tsh123000.
Hapo mkuu utakuwa mujumu uchumi
Ni ngumu kwa bei iyo kupata mteja mkuu maana dstv full kwa sasa mpya ni Tsh. 99000.unapata full set na pia unapata ofa ya kifurushi miezi 2 bure.
Sasa iyo elfu 85 + ukilipia kifurushi miezi 2(38000)=Tsh123000.
Hapo mkuu utakuwa mujumu uchumi
Ile inaitwa Dstv explora.labda mleta maada anayo iyo explora ambayo mpya sio chini ya laki 3Kaka sijajua vizuri kuvitofauyisha kitaalam
Ika kuna cha 299,000 na hicho cha 99,000 yawezekana cha mleta mada ni cha 299,000 ndio anauza 85,000
Kaka sijajua vizuri kuvitofauyisha kitaalam
Ika kuna cha 299,000 na hicho cha 99,000 yawezekana cha mleta mada ni cha 299,000 ndio anauza 85,000
Ni ngumu kwa bei iyo kupata mteja mkuu maana dstv full kwa sasa mpya ni Tsh. 99000.unapata full set na pia unapata ofa ya kifurushi miezi 2 bure.
Sasa iyo elfu 85 + ukilipia kifurushi miezi 2(38000)=Tsh123000.
Hapo mkuu utakuwa mujumu uchumi
Kwa iyo unamshauli hauze kwa elfu 40Dstv wanachotoa kifurushi cha kuanzia ni Family (29,000.) kwa miezi miwili. Ukitoa kwenye (99,000.) sawa dstv wanauza kwa (41,000.)
Mkuu nawe niliona thread yako unatafuta used dstv, ulipata?Kwa iyo unamshauli hauze kwa elfu 40
Unanishauri niuze bei gani mkuu?Ni ngumu kwa bei iyo kupata mteja mkuu maana dstv full kwa sasa mpya ni Tsh. 99000.unapata full set na pia unapata ofa ya kifurushi miezi 2 bure.
Sasa iyo elfu 85 + ukilipia kifurushi miezi 2(38000)=Tsh123000.
Hapo mkuu utakuwa mujumu uchumi
30,000Unanishauri niuze bei gani mkuu?
Ya kenya au ya tz30,000
SoldNiko Mbeya
Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928
Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
Hii sentensi ina maana yakeNi ngumu kwa bei iyo kupata mteja mkuu maana dstv full kwa sasa mpya ni Tsh. 99000.unapata full set na pia unapata ofa ya kifurushi miezi 2 bure.
Sasa iyo elfu 85 + ukilipia kifurushi miezi 2(38000)=Tsh123000.
Hapo mkuu utakuwa mujumu uchumi
maelewano yapo nicheki kwa