INAUZWA Nauza kitanda 5 kwa 6, Kimara Baruti

Hakina matukio mkuu, nilinunua mwaka jana mwezi wa 7 kwa emergency tu kwasababu ya wageni, na limekaa mda mrefu halitumiki ndio nikaona bora niliuze tu mkuu.

Hebu piga picha godoro bila kitanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…