Nauza kitanda inch 6×6 kirefu ni sofa bed nyeupe kikubwa 280,000

January ina mengi, si nyie jamani Dec hapo mlikuwa mnalumbua pesa..!! 😹😹😹

Hivi yule aliyekua anauza Tv ya wizi naye kashapata mteja? 😹😹🤣

Muwe mnaishi km sisi wakinga unajibana mpaka ukiumwa na mavi huendi toi ili usije kupata njaa tena ukishusha mzigo..!!
 
Hii ni 2026 utoto tuliokuwa tunafanya jukwaani 2022 hadi 2025 hii 2026 tuachane nao
 
Haya
 
Ukinga hadi kwenda toi😃😃🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…