Nauza kitanda na godoro

Nauza kitanda na godoro

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,530
Reaction score
9,550
Nauza kitanda na godoro
Kitanda ni 5/6 mbao ni mninga
Godoro ni QFL dodoma nchi 8 ukubwa ni 5/6
Vyote nauza kwa 300k tu
sababu ya kuuza ni alikuwa anatumia mwanangu now nmemnunulia vipya
Karibu vipo tabata mawenzi
0659756647 calls/whatsapp

20240618_045245.jpg
20240618_045255.jpg
20240618_045241.jpg
 
Back
Top Bottom