INAUZWA Nauza kitanda niweze kujikimu

Pole na mitihani
Labda ungeweka wazi fani yako, ujuzi wowote ulionao, na utayari wa kufanya kazi gani, hii itaweza kusaidia kupata msaada wa haraka.

Naungana na mawazo ya kusubiri kutouza kitanda
 
Kimfaacho mtu Chake achana na wanafiki wasio na msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…