displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Wanajamvi,
Kwa wale wanahitaji kiwanja Arusha
ukubwa wake ni 26 kwa 22
hakina mgogoro wowote nahitaji pesa tu.
kwa melezo zaidi ni PM
au 0622004481
Ni wapi hujaelewa nifafanue bushlawyer ni kwamba kiwanja kipo mkoani Arusha!wewe huuzi kiwanja bali unauza ARUSHA isipokuwa sijaelewa inakuaje arusha ni ndogo hivyo??
Arusha maeneo gani?
Maeneo ya Kisongo mkuu!
Bado kipo BelindaJacobHello displayname bado kiwanja kipo?
Haha hilo wasema wewe kwamba hakuna maji,Hapo akuna maji labda moshono au ngulelo