Plot4Sale Nauza Kiwanja - Buhongwa Mwanza

Plot4Sale Nauza Kiwanja - Buhongwa Mwanza

Tojobizy

Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
23
Reaction score
19
Habari wana Jamvi,

Mimi ni mmiliki wa kiwanja chenye boma ambalo halijaisha, kiwanja kipo Buhongwa centre na kimepimwa, kina ukubwa wa 40 kwa 30.

Bei mil.6.5

N.B Hakina dalali.

0687259290

IMG-20211122-WA0003.jpg
IMG-20211122-WA0000.jpg
IMG-20211122-WA0001.jpg
 
Kiwanja kizuri. Naona kipo pazuri pia. Ngoja waje wanaohitaji.
 
Hello Pamesimama.
Pole kwa magumu unayopitia.
Ngoja kukuche tuongee
 
Back
Top Bottom