Nauza kiwanja Bunju A, Dar es salaam

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
kiwanja kiko Bunju A, Kinondo. Mpakani mwa Madale na Mbopo
ukubwa ni hatua 22 kwa 25

dakika 10 kwa Boda kutoka Bunju Shuleni

Kimehakikiwa na namba ya uhakiki ipo (hati bado)

Kinafikika kwa namna zote: miguu, pikipiki, baisikeli au Gari

eneo limejengeka sana

6,500,000Tsh tu za Kitanzania

usije PM: NIPIGIE 0744 033 555
 
Mkuu samahani!!!!

Hivi ndiyo vile viwanja vimepimwa ambavyo watu wanatakiwa kuvilipia tena ili kupata hati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…