Plot4Sale NAUZA Kiwanja Bunju- Mingoi M 65 X 40

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
Kiwanja maeneo ya Bunju- Mingoi.
Kipo eneo zuri tambarare.
urefu hatua 65 upana hatua 40.
kipo km 4 kutoka barabara ya Bagamoyo
umeme haupo mbali.
Bei ni milioni kumi na mbili. 7,000,000/=
maelezo zaidi na kupelekwa piga 0758003101.
niite KATANGA napatikana Bunju mwisho. haudaiwi chochote kukiona.
 
wewe ni dalali au mwenye kiwanja?,,kina hati?,,unafikaje huko kwenye kiwanja?,,huo umbali ni halali au umekisiaa?
 
Maeneo hayo na kwa ukubwa huo, nasita kuamini kiasi cha fedha.Ila sema Mingoi-Mapinga, Bagamoyo na sio Bunju-Mingo.' Na km ni upande wa Bahari, huko so Mingoi bali Kiharaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mita 65 X mita 40 = 2,600 Sqm
Tshs 12,000,000/Sqm 2,600
= Tshs 4,616/Sqm 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…