Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

kevoo 27

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
407
Reaction score
383
Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo)
Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu
Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado hakijapimwa, umeme upo,
kutoka barabara kubwa mpk kwenye kiwanja kwa boda boda ni elf 1000
 

Attachments

  • 20231213_183401.jpg
    20231213_183401.jpg
    72.1 KB · Views: 23
Milion 8 kwa kiwanja cha 25 kwa 25 mbona parefu sana kwa eneo kama nyashishi, au nina muda sana bila kufika huko?
 
25 kwa 25 kwa kipimo gani ?

Vijana jifunzeni kwenye topic za unit of measurement.

Ni lazima utambulishe kipimo unachotumia kwenye maelezo yako
 
Back
Top Bottom