Nimenunua kingine buhongwaKwa nini unakiuza?
Ni hapo kwenye matuta ya manumbu?Nauza kiwanja changu kipo Nyashishi, Jijini Mwanza
Ukubwa wake ni 25 kwa 25, Bei ni million 8 ( maongezi yapo), ukishuka stendi ya nyashishi ni mwendo wa dakika 20 kwa bajaji kiwanja kipo nyuma ya shule mpya ya msingi , Huduma zote za kijamii zipo.
Kiwanja kipo upande wa kushoto ukitokea mjini kati huvuki barabara.View attachment 2845438View attachment 2845440View attachment 2845439
Mawasiliano -0719691186 hakuna dalali
M5 iko mfuko wa shatiNimenunua kingine buhongwa
Ukiambiwa ulete unaanza kujikanyaga..M5 iko mfuko wa shati
Uko serious na biashara yako mkuu?Ukiambiwa ulete unaanza kujikanyaga..
Sio mwenyeji sana maeneo yale, mm nilinunua kiwanja na sasa nimeamua kukiuzaNi hapo kwenye matuta ya manumbu?
Mara yako ya mwisho kufika mwanza ni lini??Milion 8 kwa kiwanja cha 25 kwa 25 mbona parefu sana kwa eneo kama nyashishi, au nina muda sana bila kufika huko?
Ukiwa serious na biashara inabidi uweje boss???Uko serious na biashara yako mkuu?
Nimetum picha 3 sijui kwako zimefunguka ngapiMbona mimi naona barabara tu au
Mkuu uza tu, hii ni biashara. Naweza kujielezea sana nikaharibu biashara.Mara yako ya mwisho kufika mwanza ni lini??
Eneo hilo hapoNimetum picha 3 sijui kwako zimefunguka ngapi
Hiyo barabara niya mtaa imepita mbele ya kiwanjaMbona mimi naona barabara tu au
Ntajifunza25 kwa 25 kwa kipimo gani ?
Vijana jifunzeni kwenye topic za unit of measurement.
Ni lazima utambulishe kipimo unachotumia kwenye maelezo yako