Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Unamjibuje mteja kwamba ukianiambia nilipie nitaanza kujikanyaga. Jifunze kauli nzuri kwenye biasharaUkiwa serious na biashara inabidi uweje boss???
Nyashishi ni mbali kwa hiyo bei, maana buswelu hata wilayani ambapo ni karibu unaweza kupata kwa bei hiyo aliyosemaMilion 8 kwa kiwanja cha 25 kwa 25 mbona parefu sana kwa eneo kama nyashishi, au nina muda sana bila kufika huko?
Msamehe Madalali wengi hawajui kuandaa Adverts sasa linakua lina taka maswali mengi hilo Advert25 kwa 25 kwa kipimo gani ?
Vijana jifunzeni kwenye topic za unit of measurement.
Ni lazima utambulishe kipimo unachotumia kwenye maelezo yako
Cha buhongwa siuziNiuzie icho ulicho nunua buhongwa
[emoji3167]🦯[emoji3167]🦯[emoji3167]🦯[emoji3167]🦯Msamehe Madalali wengi hawajui kuandaa Adverts sasa linakua lina taka maswali mengi hilo Advert
Hiyo ni ofa yangu njoo na ofa yako, ndy tutajua kama ni shamba au kiwanja8ml kwa nyashishi unanunua shamba na sio kiwanja tena.
Ok sawaNyashishi ni mbali kwa hiyo bei, maana buswelu hata wilayani ambapo ni karibu unaweza kupata kwa bei hiyo aliyosema