Nauza kiwanja changu kigamboni karibu na south beach

Nauza kiwanja changu kigamboni karibu na south beach

Amos1987

New Member
Joined
Nov 13, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu wana forum

Nauza kiwanja changu kipo kigamboni mji mwema karibu na barabara iendayo gezaulole nikama kiwanja cha saba toka barabara kuu ya kwenda geza kin ukubwa wa sqm 350 bei maelewano sehemu imejengeka umeme pia upo nguzo ipo pembeni ya kiwanja mwenye kuhitaji anipm au nitxt 0718403409 Ahsante
 
Back
Top Bottom