mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 824
Hii kauli inamaanisha nini ??? Kuna ndugu yangu nimempigia jana nikamwambia nauza eneo langu akanijibu kimfaacho mtu. Sikuelewa alimaanisha ninjMTU chake bhana
Fedha inakanuni moja tu inayosema "nitunze leo nitakutunza kesho" hii nadhani utaielewa ni maana nyingine ya hiyo misemo huko juuHii kauli inamaanisha nini ??? Kuna ndugu yangu nimempigia jana nikamwambia nauza eneo langu akanijibu kimfaacho mtu. Sikuelewa alimaanisha ninj
Shehe hapo mbona kama mbezi matopeni?Salama wakuu?
Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni.
-Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara.
-kuna banda watu wanakaa
-kipo jirani na chuo cha afya COTC
-Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo.
-Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo.
Mawasiliano 0769476225
View attachment 2747615View attachment 2747619View attachment 2747622
Kwani bomba la bure si ni nyuma ya lodge ya jasmini?Hapo ni magomeni bomba la bure Shehe
Ndio huu mtaa umeenda mpaka kwenye hilo eneo la kiwanja chetu.Ukisimama hapo aliposimama huyo mtoto ukaangalia mbele,unaiona shule ya msingi magomeni.Kwani bomba la bure si ni nyuma ya lodge ya jasmini?
Jamaa anamaanisha ukiwa na chako,siku ukikwama utauza ili uweke mambo sawa,ni kama kufuga ng'ombe kule kijijini,mzee akaona mwanawe anaumwa atauza chake ili amudu gharama za kumtibuHii kauli inamaanisha nini ??? Kuna ndugu yangu nimempigia jana nikamwambia nauza eneo langu akanijibu kimfaacho mtu. Sikuelewa alimaanisha j