Plot4Sale Nauza kiwanja changu mimi mwenyewe.Nina dharura bei nzuri sana.Hakina Udalali

Plot4Sale Nauza kiwanja changu mimi mwenyewe.Nina dharura bei nzuri sana.Hakina Udalali

Jay_255

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
743
Reaction score
1,305
Kiwanja kipo kigamboni kisarawe 2
Km 1 kutoka barabara kuu.

ukubwa ni 20 kwa 20
Kipo eneo zuri linaloanza kuendelea

Bei ni milioni 5 (mazungumzo yapo)
Hakuna dalali ni changu mwenyewe.

Ukihitaji maelezo zaidi mawasiliano haya hapa ya mmiliki
+255659252713

View attachment 2995679

Kisarawe 1 ndio ipo wapi kiramani, unaweza ukaweka location hata ya google map?
 
Kisarawe 1 ndio ipo wapi kiramani, unaweza ukaweka location hata ya google map?

kisarawe tu ipo kigamboni kama unaenda ilipo dar zoo

IMG_20240521_071555.jpg
 
Mh!! Mbona changamoto hakuna hata majilani kiongozi.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom