Kiwanja kipo kigamboni kisarawe 2
Km 1 kutoka barabara kuu.
ukubwa ni 20 kwa 20
Kipo eneo zuri linaloanza kuendelea
Bei ni milioni 5 (mazungumzo yapo)
Hakuna dalali ni changu mwenyewe.
Ukihitaji maelezo zaidi mawasiliano haya hapa ya mmiliki
+255659252713
View attachment 2995679
Nyaraka za umiliki zikoje? Na kiko mtaa gani pale Kisarawe II miongoni mwa mitaa hii
Vip ushapat mtejaKiwanja kipo kigamboni kisarawe 2
Km 1 kutoka barabara kuu.
ukubwa ni 20 kwa 20
Kipo eneo zuri linaloanza kuendelea
Bei ni milioni 5 (mazungumzo yapo)
Hakuna dalali ni changu mwenyewe.
Ukihitaji maelezo zaidi mawasiliano haya hapa ya mmiliki
+255659252713
View attachment 2995679