asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 147
Nitaweka ila ukiwa serious unaweza kuja kukionaungeweka picha ndugu, mimi nahitaji
ntakuja ndugu, maana ninaishi kigamboni pia na nilikuwa natafuta kiwanja hukuNitaweka ila ukiwa serious unaweza kuja kukiona
Tuwasilianentakuja ndugu, maana ninaishi kigamboni pia na nilikuwa natafuta kiwanja huku
Picha hii hapaungeweka picha ndugu, mimi nahitaji
Hapo umepiga picha kiwanja au umepiga picha kamba(tape measure)?Picha hii hapaView attachment 957284
hahahaaHapo umepiga picha kiwanja au umepiga picha kamba(tape measure)?
Nimependa muhusika aone ukubwa wa eneoHapo umepiga picha kiwanja au umepiga picha kamba(tape measure)?
Kweli kikulacho kinguoni mwakoKIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KARIBU NA CHANGANI BEACH, UKUBWA WAKE NI SQM 930,KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI KUTOKA WIZARA YA ARDHI,BEI YAKE NI MIL 9
Hii nitacheki japo sipajui changani beachKIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KARIBU NA CHANGANI BEACH, UKUBWA WAKE NI SQM 930,KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI KUTOKA WIZARA YA ARDHI,BEI YAKE NI MIL 9
bado kipo?Habarini wadau wa jukwaa hili ?
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka(35*35) kwa bei ya Tsh Milioni 15.
Kiwanja kinapatikana Toangoma njia ya kwenda kigamboni kutoka kongowe. Karibu na funcity kilometa 1.5 kutoka barabara kuu ya lami.
Umeme na maji vimefika visima vya maji matamu vipo, sio maji ya chumvi. Kiwanja nilipewa zawadi na wazazi wangu kwa kukatiwa sehemu kubwa ya ardhi yao. Hivyo kina mkataba wa makabidhiano tu bila hata, hakijapimwa.
Ukiridhika na maelezo na unataka kukiona baada ya kununua endapo tukiafikiana tutaandikishiana serikali ya mtaa. Kiwanja hakina mgogoro wowote na kipo sehemu tambarale.
Kwa mawasiliano zaidi
+255 (0) 654 846 084