Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Unamana gani sijakuelewaHivi na mkoan kumbe kuna viwanja vya kuuza nikajua ni dar tu!
Bei ya kutupa kabisa hiyoDah! Hicho kiwanja utakiuza mapema sana. Maana bei yako nayo ni nafuu mpaka basi.
Ukiwa unataja 28 kwa 20 yaani 28x20 useme ni vipimo vya futi au mita ili watu wapate uhalisia wa ft² au m² yaani ni (28ft x 20ft) au (28m x 20m). hizi ni taarifa muhimu kwa mtu kama mimi.
Mwisho lazima uweke bayana aina ya haki miliki, yaani kiwanja kinamilikiwa kwa hati miliki kama kipo mjini(municipal), kina ofa, kimerasimishwa na serikali na mwisho lazima tujue kama kimepimwa au vipi.......
Kwa upande wangu sinunui kiwanja mjini bila kufuata hizi procedures na nyingine za kuhusisha issue za kimahakama maana matepeli bhna huwa wana zile janja janja anakuonesha yeye mwenyekiti feki wa mtaa na mwenye kulipwa 10% ya serikali.
Pia blah blah feki hati moja mnauziwa watu tofauti.....
Hicho kiwanja ni changu nilinunua mwaka 2018Ukiwa unataja 28 kwa 20 yaani 28x20 useme ni vipimo vya futi au mita ili watu wapate uhalisia wa ft² au m² yaani ni (28ft x 20ft) au (28m x 20m). hizi ni taarifa muhimu kwa mtu kama mimi.