Nauza kiwanja changu Zinga Bagamoyo

Nauza kiwanja changu Zinga Bagamoyo

souljar

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
854
Reaction score
1,831
HABARI,
NAKIWANJA CHANGU ZINGA(BAGAMOYO ROAD)UKUBWA 2780 SQM NATAKA MTEJA WA UHAKIKA NAJAMBO LANGU BEI SASA NATAKA OFFER NZURI TU KINA HATI FIKA SITE TUZUNGUMZE JANUARY HII,FRAME 5 NA UKUTA NI NYUMA YA SOKO.MTEJA SERIOUS TUWASILIANE TAFADHALI killuminatejr@gmail.com
 

Attachments

  • IMG-20250114-WA0000.jpg
    IMG-20250114-WA0000.jpg
    48.8 KB · Views: 6
  • IMG-20241101-WA0045.jpg
    IMG-20241101-WA0045.jpg
    37.1 KB · Views: 5
  • IMG-20241101-WA0046.jpg
    IMG-20241101-WA0046.jpg
    56.7 KB · Views: 4
Mkuu ili kuepusha usumbufu ungeweka bei na kusema mazungumzo yapo...ofa nzuri inategemea na ubongo wa mtu, mwingine atakuja kukagua na wewe akupotezee muda halafu ataje bei ambayo haifiki hata nusu ya ulichokuwa unatarajia
 
Mkuu ili kuepusha usumbufu ungeweka bei na kusema mazungumzo yapo...ofa nzuri inategemea na ubongo wa mtu, mwingine atakuja kukagua na wewe akupotezee muda halafu ataje bei ambayo haifiki hata nusu ya ulichokuwa unatarajia
Uko sawa kabisa ningependa kuanzia 55 million maongezi yapo.
 
Kiwanja kipo pembeni na ofisi JF, ukitoka geti la Max Melo kulia, ukiingia kushoto 😅😅😅
 
Unaweza piga picha vizuri kila kona ya hiko kiwanja. Ili tuone twafanyaje.
 
Kila la heri
Natumai zile ofisi za mtendaji za zenye bendera ya chama na kila kitu halafu zinapotea baada ya manunuzi hazipo siku hizi
 
Back
Top Bottom