Plot4Sale Nauza kiwanja changu

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
120
Habarini wandugu, nauza kiwanja changu kilichopo kibaha picha ya ndege kwa sofu km2 kutoka barabarani chenye ukubwa wa sqm 602, kiwanja kina hati, umeme na maji vipo hapo hapo vimefika kwenye kiwanja na kiwanja ni cha kwangu mwenyewe, bei ni 10,000,000/= (MILIONI KUMI) Piga simu 0716 002323, Frank jb.

Hapo mvua za eli nino zikianza tu utajikuta unaela bahari ya hindi karibu na sheli sheli huko
 
Hapo mvua za eli nino zikianza tu utajikuta unaela bahari ya hindi karibu na sheli sheli huko
Nashukuru nimeshakiuza kiwanja changu tangu tarehe 6/6/2023, asante
 
Nashukuru nimeshakiuza kiwanja changu tangu tarehe 6/6/2023, asante
Hongera sana mzee wangu. Mungu akusimamie uitumie pesa uliyoipata vizuri kwa kazi uliyoikusudia. Kama ni mpango wa kando wàsizidi 10.
 
Hongera sana mzee wangu. Mungu akusimamie uitumie pesa uliyoipata vizuri kwa kazi uliyoikusudia. Kama ni mpango wa kando wàsizidi 10.
Nimeitumia hela yangu vizuri na mke wangu, asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…