Mkuu unauza NJIA au kiwanja? tuweke wazi tafadhaliMteja unaweza kuweka wazi pesa unayoweza kulipa wewe,kama inanilipa nakuuzia.
Arghhhh, sasa kumbe unataka kutuuzia kichaka mkuu! Please kuwa seriousSoma thread yote kwa umakini,kwenye picha kuna njia(Barabara) na eneo lenye majani ndio langu,hio barabara mali ya umma.
Lakini naona huna akili timamu na una nia mbaya.
Mkuu hiyo barabara inaweza kuja kupanuliwa huoni kama hilo litatokea basi kuna uwezekano mkubwa wa hilo eneo unaloliuza likamegwa?Wewe chizi kweli kwani haiwezekani kufyeka kama pesa ya kumlipa mfyekaji ipo.
Dah nilikuwa nakuheshimu hapa Jf kumbe wewe ni mbulula wa kutosha kabisa.
Hii ni barabara ya mtaa ni pana,haina uhusiano na eneo langu.Mkuu hiyo barabara inaweza kuja kupanuliwa huoni kama hilo litatokea basi kuna uwezekano mkubwa wa hilo eneo unaloliuza likamegwa?
Sawa mkuu umenielewesha japo kwa kiasi ila punguza jazba kiongoziHii ni barabara ya mtaa ni pana,haina uhusiano na eneo langu.
Barabara ilitengwa wakati wa kukata viwanja,mtu akinunua ndio barabara ya kufika kwenye mtaa.
Pia hizi ni picha lakini ukifika eneo husika utaona kuna barabara na kiwanja kwa mpangilio mzuri.
NimekupmSina hili tatizo ila sipendagi ujinga kabisa hasa kwa mtu anayehitaji kuharibu mambo yangu.