Plot4Sale Nauza kiwanja Chanika Buyuni Dar es Salaam

mozilla

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
770
Reaction score
1,222
Eneo Chanika Buyuni kituo cha daladala kwa dadi, ukubwa urefu hatua 25 na upana hatua 15. Eneo lina msingi wa nyumba vyumba vitatu vya kulala, kimoja master bedroom, kina sebule, jiko na choo cha public. Pia kina maji na kuna tofali 200

1km kutoka barabara kuu

Bei Tsh 9milion, maongezi baada ya kufika eneo la tukio

For more information please contact Call/Whatsap 0714 521128
 
Yani Chanika 15 kwa 25 mil 9? Huo msingi is not an issue kwa sababu naweza kuja na ramani yangu.

Angalia soko mkuu. Mil 9 ni ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…