Plot4Sale Nauza Kiwanja Chenye Hati 1602MSQ Goba

Lawkeys

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
1,118
Reaction score
287
Details:

Title No. 156855
Size: 1602 MSQ
Location: Goba, Kunguru, Near Precious School
Accessibility: Approx 200metres from Goba/Makongo road & Approx 1 Km from Masana-Goba Road (Barabara ya Lami)
Price: 66M, attractive payment terms

Mawasiliano: 0714019605
 
Price: Good Price, attractive payment terms

Mawasiliano: 0714019605
Kuna mtu kanambia Good price ni 200M. Vipi haipungui bei kidogo?
 
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
siku nyingine uwe unasoma vigezo na masharti
 
Noted- nimeweka
 
Details:

Title No. 156855
Size: 1602 MSQ
Location: Goba, Kunguru, Near Precious School
Accessibility: Approx 200metres from Goba/Makongo road & Approx 1 Km from Masana-Goba Road (Barabara ya Lami)
Price: 66M, attractive payment terms

Mawasiliano: 0714019605
Kwani kuna na nyumba kama nikiwanja tu hiyo hela nikubwa....kwa Goba kiwanja 25m hadi 40 ndo fair
 
Price: 66M,
Haya ndio mambo yaliyonichelewesha kujenga. Nikiangalia bei kama hizi wakati sijawahi shika hata milioni tano. Nikaona a house is not for me. Ila nilipokuja kupata ufahamu, nikajisogeza zangu Chanika, kwa kiwanja cha milioni mbili tu, sasa hivi mjengo unasimama kwa kasi ya mwanga!
 
Banda langu nimejenga tena ujenzi wa miaka 3 hadi limeisha kabisa plus kiwanja imefika 38mil.
Haya matangazo ndo tanawatisha vijana wengi waogope kujenga.
 
Back
Top Bottom