usipotezee watu muda kama huweki bei futa tangazo lakoPrice: Good Price, attractive payment terms
Kuna mtu kanambia Good price ni 200M. Vipi haipungui bei kidogo?Details:
Title No. 156855
Size: 1602 MSQ
Location: Goba, Kunguru, Near Precious School
Accessibility: Approx 200metres from Goba/Makongo road & Approx 1 Km from Masana-Goba Road (Barabara ya Lami)
Price: Good Price, attractive payment terms
Mawasiliano: 0714019605
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
siku nyingine uwe unasoma vigezo na masharti
- Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
- Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
- Taja bei
- Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.
- Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
- Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Kwani kuna na nyumba kama nikiwanja tu hiyo hela nikubwa....kwa Goba kiwanja 25m hadi 40 ndo fairDetails:
Title No. 156855
Size: 1602 MSQ
Location: Goba, Kunguru, Near Precious School
Accessibility: Approx 200metres from Goba/Makongo road & Approx 1 Km from Masana-Goba Road (Barabara ya Lami)
Price: 66M, attractive payment terms
Mawasiliano: 0714019605
Haya ndio mambo yaliyonichelewesha kujenga. Nikiangalia bei kama hizi wakati sijawahi shika hata milioni tano. Nikaona a house is not for me. Ila nilipokuja kupata ufahamu, nikajisogeza zangu Chanika, kwa kiwanja cha milioni mbili tu, sasa hivi mjengo unasimama kwa kasi ya mwanga!Price: 66M,