fursadodoma
New Member
- Jun 2, 2021
- 2
- 2
nawezekana kati ya kilomita 6 mpaka 7 na ni nyuma ya Mlima wa Isanga unaweza kupitia Kikuyu au KizotaMiganga west ni kilomita ngapi toka Dodoma mjini mkuu?
Saa hizi ukienda kichwa kichwa unapasukai
nawezekana kati ya kilomita 6 mpaka 7 na ni nyuma ya Mlima wa Isanga unaweza kupitia Kikuyu au Kizota
kwa bei ya milioni sita uwanja tu yaani makaratasi ni bado sana.
Bora alipokuwa Mwendazake dalili za Dodoma kuendelea kwa kasi hiyo ya viwanja kuwa juu ilikuwepo kiofisi kupitia Jiji ni 3.5 mpaka 4M kwa square mita 400 hadi 500
Hiki mbona hujaweka bei? Umesahau kwa bahati mbaya, au umefanya tu kwa makusudi kwa sababu unawauzia wafanyakazi wa Udom, Hazina, Bot, Takwimu, Nhif, nk?KIWANJA KIZURI KINAUZWA
________________________
MAHALI- MKALAMA
_________________________
KIPO SEHEMU NZURI TAMBARARE KABISA
__________________________
PANAWAFAA WANAOFANYA KAZI TOWN, NHIF, UDOM, TAKWIMU, HAZINA, UKAGUZI HOUSE, UCHAGUZI HOUSE, BOT , KAMBARAGE NK. NI KARIBU SANA NA HIZI OFISI
________________________
UMBALI MPK MJINI KATIKATI NI KILOMITA 3 NA NUSU TU
_________________________
UKUBWA WA KIWANJA-SQM 1200
__________________________
DOCUMENT-KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA NYARAKA ZAKE ZOTE HALALI ZA UMILIKI
__________________________
MATUMIZI
-MAKAZI
-KINAFAA KWA NYUMBA YA KUISHI
-KIZURI KWA APPARTMENTS ZA KUPANGISHAView attachment 1816782
_________________________
HUDUMA-MAJI+UMEME VIPO
_________________________
SIFA ZA ZIADA
-KIKO SEHEMU NZURI+TULIVU
_________________________
MAWASILIANO
0620320310
0756778476
_________________________View attachment 1816783
View attachment 1816784
View attachment 1816785
watu wanapiga hela, posho na mishahara wanaenda Jenga DSMDodoma inaenda kujifia kifo cha Mtwara π π π hata kule upepo ulikuwa mkali ila now pako njwii!
Dah mie bibie alikuwa anafosi tununue kiwanja Dom aisee hapana Dodoma sipatakiwatu wanapiga hela, posho na mishahara wanaenda Jenga DSM
watu hawajahamia Dodoma kabisa, nusu Dar nusu Dom
ndio maana viwanja vinasuasua na bei haipandi, vipo vingi tu wazi na vinauzwa
labda km kwa maisha ya baadae na watoto lkn km ni kwa mzunguko wa pesa na upo zaidi kibiashara hiyo pesa haitarudi leo, waliotoka Arusha, Dar Mwanza ama Kilimanjaro walifungua biashara za vinywaji na walifilisika wakaacha na vyombo na mali wakarudi.Dah mie bibie alikuwa anafosi tununue kiwanja Dom aisee hapana Dodoma sipataki