Ni Nzuguni ipi hiyo ndugu? Nzuguni C, B, au A? Maana hilo eneo kwa Dodoma huenda likawa ndiyo linaongoza kwa madalali matapeli kuwauzia watu viwanja vyenye migogoro.