Plot4Sale Nauza Kiwanja Dodoma

Karug

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
334
Reaction score
96
Wadau habarini!

Nina kiwanja kimepimwa kipo Dodoma eneo linaitwa Swaswa mbele kidogo ya makazi ya Waziri Mkuu na jirani kabisa na inakopita barabara ya kuelekea Airport tarajiwa ya Msalato.

Kimepimwa mchakato wa hati unaendelea, kina ukubwa wa Mita za Mraba 600, bei ni milioni 6.

Karibuni kwa mwenye nia tuwasiliane inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…