Plot4Sale Nauza kiwanja Fukayose

Plot4Sale Nauza kiwanja Fukayose

Kutoka Fukayosi shule hapo mpk shamba lilipo ni umbali gani?
 
KUNA mzee wangu alijenga guest house maeneo hayo kwa hela ya kustaafu..ndani ya miaka minne hakupata wateja labda wazinzi wa short time. Alipata hadi kiharusi kwa mawazo
 
KUNA mzee wangu alijenga guest house maeneo hayo kwa hela ya kustaafu..ndani ya miaka minne hakupata wateja labda wazinzi wa short time. Alipata hadi kiharusi kwa mawazo

Fukayosi naona panakuzwa mno ila pa hovyo, bora kiwangwa pamechangamka hata biashara fresh
 
Back
Top Bottom