Ndiyo wapi huko Fukayose!Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari 1 maeneo ya Fukayose.
Kama unahitaji ni PM
Ameweka bei wapi mkuu?50 million maajabu! Hii si bei ya Buguruni kabisa?
Hiyo ni namna ya kumfanya jamaa aweke bei.Ameweka bei wapi mkuu?
Kumbe una apply yale mambo ya Kina Malya na Kibatala wanamchokonoa Shahidi Namba 4 hadi anamkana Kingai!!!
Ni bagamoyoNdiyo wapi huko Fukayose!
Bei ni mil 1.5 tuHapo Fukayosi maeneo gani?lakini mbona bei kubwa sana
Bei ni mil 1.5 tu50 million maajabu! Hii si bei ya Buguruni kabisa?
KaribuAhsante Kwa taarifa...
Bodaboda ya 1000 tuu unafikaKutoka Fukayosi shule hapo mpk shamba lilipo ni umbali gani?
Umbali toka main road?Bei ni mil 1.5 tu
KUNA mzee wangu alijenga guest house maeneo hayo kwa hela ya kustaafu..ndani ya miaka minne hakupata wateja labda wazinzi wa short time. Alipata hadi kiharusi kwa mawazo
shamba kunachangamshwa kwa Kilimo na ufugaji mkuu!!Fukayosi naona panakuzwa mno ila pa hovyo, bora kiwangwa pamechangamka hata biashara fresh
πππKumbe una apply yale mambo ya Kina Malya na Kibatala wanamchokonoa Shahidi Namba 4 hadi anamkana Kingai!!!