Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

Sibaru

Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
47
Reaction score
45
Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30.

Bei ni milioni 14

Nyaraka Serikali za mitaa.
Huduma zote za kijamii zipo
0762282526
Your browser is not able to display this video.
 
NAMI nna kiwanja kinauzwa Goba njia ya Makongo, huduma zote zipo na ni karibu na lami.
 
Kiwanja cha 15m * 30m = 450sq kiko sehemu potential kama Goba, document pekee ulizo nazo ni hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa?

Kingekuwa na hati ya wizara kingekuwa na ushawishi sana.
 
Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30.

Bei ni milioni 14

Nyaraka serikali za mitaa.
Hudama zote za kijamii zipo
0762282526
Kimepimwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…