Bwana Chiniko
Member
- Jul 18, 2016
- 20
- 9
Kina umbali gani kutoka 'state house' ya dangote???
Labda umekariri ndugu, pili huenda ukawa sio mzoefu wa maeneo yanayouzwa huku, mwisho kabisa kimfaacho mtu ni chakeHilo ni shamba sio kiwanja na bei yako imenistua sana nilitegemea utaje milion 100 maana kwa madale kwa eka huwez kupata kwa 25am.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hilo ni shamba sio kiwanja na bei yako imenistua sana nilitegemea utaje milion 100 maana kwa madale kwa eka huwez kupata kwa 25am.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Basi hicho kiwanja kiko bagamoyo sio madale!!Hapana sipafahamu kwa huyo mtu
Kiwanja nakihitaji,na bei ni nzuri.Habari za asubuhi ndugu zangu wa Jamii forums, natumaini kwa kudra za mwenyezi Mungu wote ni wazima wa afya.
Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 4 kinauzwa kipo Madale kisauke hakipo mbali na barabarani.
Inategemea utahitaji kwa heka zote au kwa moja, heka moja inaanzia Shilingi Milioni 25 mazungumzo yapo.
Kwa mawasiliano nicheki : 0676 33 61 47
Wote Mnakaribishwa