Plot4Sale Nauza kiwanja hekari 19

Plot4Sale Nauza kiwanja hekari 19

ludovick94

Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
28
Reaction score
3
Kiwanja kina hati ya miaka 60. kipo 3Km kutoka morogoro road kuanzia njia ya kutoka TAMCO Mile moja kwenda bagamoyo kupitia vikawe.
Bei Milion 500
Maongezi yapo.
0659997074 (Whatsapp,sms and calls)
Tafadhali soma maelezo kwa umakini
Asante. Karibu
 
Hebu tusaidiane hapo. Shamba na pori v Vina tofautiana nini kusema kiwanja? Je? Hata pori au shamba likipimwa na kupewa hati litakua shamba au kiwanja au yote ni sawa.
Hicho ni kiwanja au shamba mkuu?
 
Zipi Sifa za shamba na sifa za kiwanja? Naomba msaada hapo
Kiwanja kinakua more advanced zaidi yaani at least kinakua na karibu na huduma za jamii Kama umeme,maji na barabara... Pia kwenye hiyo hati utakuta umeainishiwa kabisa Kama hicho ni shamba au kiwanja
 
Asante. Ngoja nipitie hati nisome walivyoainisha
Kiwanja kinakua more advanced zaidi yaani at least kinakua na karibu na huduma za jamii Kama umeme,maji na barabara... Pia kwenye hiyo hati utakuta umeainishiwa kabisa Kama hicho ni shamba au kiwanja
 
Hebu tusaidiane hapo. Shamba na pori v Vina tofautiana nini kusema kiwanja? Je? Hata pori au shamba likipimwa na kupewa hati litakua shamba au kiwanja au yote ni sawa.
Heka 19 unasema kiwanja duuuh,,,,
Shamba Lina mazao mfano mahindi,mihogo, migomba hata waking a wengi wanamiliki mashamba ya miti kwa ajili ya kipato hapa na wewe lazima uliudumie ndio likulipe.
Pori hata mimi Ninalo la hekari 20 wilaya ya kisarawe Kuna kipindi nilijaribu kusafisha hekari 10 ili liwe shamba matokeo yake nilishindwa kuliendeleza ardhi hakuna rutuba matokeo yake limerudi kuwa Pori.
Ilo eneo lako ukitaka liwe kiwanja akikisha umeliendeleza mfano kwa kuweka vijumba vya shamba boy kila baada ya heka moja. Vingnevyo Ilo ni Pori au shamba
 
Zipi Sifa za shamba na sifa za kiwanja? Naomba msaada hapo
Alafu kwa hekari 19 ulipopewa Hati lazima ulisema unataka kwa kazi gani. Hila haya mambo yalikuwa miaka ya nyuma unamiliki eneo kubwa bila malengo.
 
Back
Top Bottom