ludovick94
Member
- Feb 21, 2015
- 28
- 3
Hicho ni kiwanja au shamba mkuu?
Zipi Sifa za shamba na sifa za kiwanja? Naomba msaada hapoNi shamba hilo,
Kiwanja kinakua more advanced zaidi yaani at least kinakua na karibu na huduma za jamii Kama umeme,maji na barabara... Pia kwenye hiyo hati utakuta umeainishiwa kabisa Kama hicho ni shamba au kiwanjaZipi Sifa za shamba na sifa za kiwanja? Naomba msaada hapo
Kiwanja kinakua more advanced zaidi yaani at least kinakua na karibu na huduma za jamii Kama umeme,maji na barabara... Pia kwenye hiyo hati utakuta umeainishiwa kabisa Kama hicho ni shamba au kiwanja
Heka 19 unasema kiwanja duuuh,,,,Hebu tusaidiane hapo. Shamba na pori v Vina tofautiana nini kusema kiwanja? Je? Hata pori au shamba likipimwa na kupewa hati litakua shamba au kiwanja au yote ni sawa.
Alafu kwa hekari 19 ulipopewa Hati lazima ulisema unataka kwa kazi gani. Hila haya mambo yalikuwa miaka ya nyuma unamiliki eneo kubwa bila malengo.Zipi Sifa za shamba na sifa za kiwanja? Naomba msaada hapo
Kwa ukanda ule sidhani kama Kuna mchanga zaidi ya mfinyanzi na mwamba wenye jiwe jeupe laini.Lina mchanga hilo shamba tuingie front
Poa boss lingekuwa na mchanga ungekuwa unaongea mengine saivi....haikuwa bahatiKwa ukanda ule sidhani kama Kuna mchanga zaidi ya mfinyanzi na mwamba wenye jiwe jeupe laini.
NUSU YA ENEO LINA MCHANGAPoa boss lingekuwa na mchanga ungekuwa unaongea mengine saivi....haikuwa bahati