stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Boss kama wewe ndo mmiliki nipe kazi nikutafutie wateja fasta....ndo shughuli zangu hizo chap tunauzaNauza kiwanja kivule center kabisa
Heka 1
Mil 60. Maongezi kidogo yapo
Mark ukifika Kivule Muungano pub eneo linaitwa mnarani ndio kiwanja kilipo ni eneo lililojengwa nyumba za kifahari ukipaona utapapenda.
Pako tambarare, eneo limekamata barabara kuu.
0743 257 669
Yaani hii nchi watu wote ni janja janja tuIlala DSM center ni kivule?
Rekebisha kauli
Madalali mkiingia kitafika milioni 100Boss kama wewe ndo mmiliki nipe kazi nikutafutie wateja fasta....ndo shughuli zangu hizo chap tunauza