Qulfayaqul
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 480
- 84
Du mpaka sasa bado hujauzaKiwanja chenye ukubwa wa mita 20x23 kinauzwa, kipo kitunda kivule tsh 2,500,000/=, maelewano yapo, pia kina matofali 600 nayauza kwa 550 kila moja.
Wasiliana nami kwa simu namba 0713-357542.
kimsingi mimi nitakupa milioni 2 kamili please elezea umbali uliopo na huduma za kijamii kama umeme na maji je panaingilika au ndo vile viwanja ambavyo havina hata sehemu ya kumwaga mchanga
je hizo tofali zimetengenezwa kwa umeme au ya kawaida.
hicho kiwanjwa niniavyofahamu hakina hati ila kina makubaliano ya muuzaji na mnunuzi je ninaweza kuonana na aliyekuuzia wewe
je utakuwa tayari tuje tukasiniane mbele ya mawakili na tuweke public notice ya two weeks au
Nini kimekufanza ukiuze?...... Mgogoro? kinajaa maji au?
kina hati?
hati ipooooooooooooooooooooo?
Du mpaka sasa bado hujauza
njaa kaka hakuna lolote kaka lazima niwe mpole.uko smart umemjibu kila mtu au wewe dalali?
Unafika Matembele mawili au?Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20x23 kinauzwa, kipo kitunda kivule tsh 2,500,000/=, maelewano yapo, pia kina matofali 600 nayauza kwa 550 kila moja.
Wasiliana nami kwa simu namba 0713-357542.
Bado kaka nisaidie kuwa dalali wangu mkuu
Pesa ndogo sana hio, msimlalie sana kwa njaa yake...!!!
Kiwanja pia ni kidogo sana just 460 squre meter na sehemu yentewe ni mbali na mji.
kiwanja pia ni kidogo sana just 460 squre meter na sehemu yentewe ni mbali na mji.