1.Umesema "kiwanja kimepimwa ila hakina hati," Je, ni Kiwanja Namba ngapi?Kitalu gani na kipo wapi (location) ipi hasa?Habarini za leo.. ninauza kiwanja kipo kanyerere center ni mwendo wa dakika 10 kukifikia liko tambarare, umeme na maji vimefika..
Kiwanja ni 18m upana kwa 40m urefu, kiwanja kimepimwa ila hati sijaifuatilia..
Ninakiombea 13 milion (tunaweza kuongea pia)
Sijaambatanisha picha maana siishi mwanza kwasasa ni ni miaka kidogo nimetoka huko kukiangalia kwahiyo hata picha zenyewe siko nazo kwa simu hii...
Tuwasiliane kwa 0657510531
Habarini za leo.. ninauza kiwanja kipo kanyerere center ni mwendo wa dakika 10 kukifikia liko tambarare, umeme na maji vimefika..
Kiwanja ni 18m upana kwa 40m urefu, kiwanja kimepimwa ila hati sijaifuatilia..
Ninakiombea 13 milion (tunaweza kuongea pia)
Sijaambatanisha picha maana siishi mwanza kwasasa ni ni miaka kidogo nimetoka huko kukiangalia kwahiyo hata picha zenyewe siko nazo kwa simu hii...
Tuwasiliane kwa 0657510531
Maswali ya Msingi sana haya [emoji3][emoji3][emoji3]1.Umesema "kiwanja kimepimwa ila hakina hati," Je, ni Kiwanja Namba ngapi?Kitalu gani na kipo wapi (location) ipi hasa?
2.Kilipimwa (surveyed) lini?
3. Ulikipima wewe mwenyewe binafsi kwa gharama zako au kilipimwa na Serikali?
4. Nyaraka zote kuhusu umiliki wa kiwanja hicho unazo?
5. Ni nani hasa mmiliki wa Kiwanja hicho?
Na ndio maana nilisema maongezi hapo yapo hii ni biashara mzeeJamaa umedanganywa kuwa kanyerere sasa imechangamka. Kiwanja chako utauza kwa bei kubwa.
Hata buswelu yenyewe inayojengwa kwa kasi siwezi nunua kiwanja kwa hiyo bei. Huko mbwinde utamuuzia nani?
Sawa mkuu. Ngoja wenye mapesa yao wajeNa ndio maana nilisema maongezi hapo yapo hii ni biashara mzee