Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiko umbali gan kutoka barabara ya kigamboni kongowe?Nauza kiwanja kiko sehemu nzuri sana na bei ni nzuri square meter 2000 . Karibuni sana.
weka number za mawasiliano au tuje PM ?Nauza kiwanja kiko sehemu nzuri sana na bei ni nzuri square meter 2000 . Karibuni sana.
Kweli bei nzuri.Asante kwa ushauri 85 Million. Punguzo ipo
Kweli bei nzuri.
Labda iwe millioni ya Zimbabwe..lakini kwa Tanzania hii ni bei ya nyumba.. Kibada haijafikia hapo..Asante kwa ushauri 85 Million. Punguzo ipo
Asante kwa ushauri 85 Million. Punguzo ipo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Na kimechukuliwa sasa hapo ndo utashangaa sema mimi sina sio hatuna hela.Dah...zaidi ya 100,000 kwa square metre[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kuna nini hapo?
Mbona sasa hivi hata beach plot unapata chini ya 50,000/- kwa square metre?