Plot4Sale Nauza kiwanja kibada kigamboni

HIYO SIYO BEI YAKE KWA SASA, UKIMPATA WA KUMUUZIA NIAMBIE NA MIMI NIUZE CHA KWANGU...MWISHO HAPO NI 20 MILIONI...NAWASILISHA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yani km hadija kopa vile
 
Ukwel nikwamba hizo bei zazamani zilikuwa fake na watu waliishi maisha fake sn.
 
Alafu bila shaka we ni dalali nna mashaka na iyo namba ya simu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Na kimechukuliwa sasa hapo ndo utashangaa sema mimi sina sio hatuna hela.
Issue sio kuchukuliwa.. ni kwamba hizo bei sio halisi hata kama umepata wa kumshika masikio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…