Nauza kiwanja kibaha kwa Mfipa mil. 1.5

Collinsteve

Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
88
Reaction score
48
NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA.

LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO.
NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI.
MCHANGA UKO HAPO HAPO
TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750
MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA
KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5

Square mita 300
Bado sijapata mteja sahihi.
NATAKA MIL. 1.5

0685223804
 
Kwa anaenunua anunue sio mbali na road na kumejengeka ardhi ni tambarare kule
 
Ngoja waje
 
Uza kiwanja lakini usidanganye kuna tofali ya 750 mpaka site kwa Mfipa ama Kibahq nzima, kwa mfipa ipi matofali yanauzwq 750 mpaka site?
 
Weka picha kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…