Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000.
Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa unaelekea Mlandizi.
Hakina matatizo ya aina yoyote na mmiliki ni mimi mwenyewe
Maongezi kdg yapo, nicheki kwenye namba 0764368588 tufanye biashara kwa wateja walio serious.
Nyaraka nilizonazo ni zile tulizoandikisha Serikali ya mtaa na alieniuzia na pia alinikabidhi document yake aliyoipata toka kwa aliemuuzia. Kiufupi hakina tatizo lolote sema nauza tu ili nitatue changamoto zangu. Ukihitaji kukiona unakaribishwa muda wowote.