Plot4Sale Nauza kiwanja kibaha picha ya ndege

mussa warioba

Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
8
Reaction score
4
Habari, Nauza kiwanja Cheney hati miliki kipo kibaha picha ya ndege km 2 kutoka barabara kuu na kiwanja kipo barabarani kabisa . Ukubwa 1026 sqm, bei 12,000/= per sqm na huduma za jamii zote zipo [emoji338]0759-880063


 
Sasa jamaa kwani ukisema unauza kiwanja kwa shilingi kadhaa utapata shida gani, kwanini utangaze bei kwa square meter wakati kiwanja chenyewe kiko kimoja tu hapo? Si utaje bei ya kiwanja kama kilivyo.

Wenzako wanatangazaga bei kwa square meters sababu viwanja vinakuwaga vingi in a batch!
 

Umeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…