Kiwanja kizuri sana
Kina huduma zote
Maji
Umeme
Barabara
Kipo nyuma ya shule ya msingi twende pamoja
Jirani na gereza la mahabusu kibaha (sofu)
Kina ukubwa wa mt 20 kwa 25
Barabara ipo mpaka kiwanjani
Mkataba wa mauziano toka serikali za mitaa
Hakina mgogoro wa aina yoyote
Bei 7.5m tu