Plot4Sale Nauza kiwanja Kigamboni Darajani

Plot4Sale Nauza kiwanja Kigamboni Darajani

NecZec

Member
Joined
Jan 23, 2019
Posts
45
Reaction score
65
Habari
Nauza kiwanja, ukubwa hatua 28 kwa 20. Kiwanja kipo Kigamboni jirani na daraja ya mwalimu Nyerere Kigamboni.

Bei ni milioni 18.

Usalama wa kiwanja upo kwani documents zote zipo na hatua zote za kiserikali za uuzaji zitafatwa.
 
Habari
Nauza kiwanja, ukubwa hatua 28 kwa 20.
Kiwanja kipo kigamboni jirani na daraja ya mwalimu nyerere kigamboni.
Bei ni milioni18.
Usalama wa kiwanja upo kwani documents zote zipo na hatua zote za kiserikali za uuzaji zitafatwa.
Unavunja mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom