yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
Wadau habarini za asubuh. Nauza maeneo yangu yaliyoko dege jiran na "magorofa ya dege" kigambon. Viko viwili sehem moja na kila kimoja kina ukubwa wa mita 23*25. Viko kama mita 60 kutoka barabaran na Havijapimwa. Bei ni milion 6 kwa kila kimoja. Kuna umeme na barabara ya lami kutokea ferry. Karibuni tafadhali. Napatkana 0713806766.