Inaeza ikawa mile[emoji2] [emoji2]Hiyo 23*25 ni mita, futi au kilometre?
Poa mkuu. Vipi ukiziunganisha unapata 23*50 au 46*25? Na ukipata mtu wa kuchukua zote bei inapoa kiongozi?Ni mita...ni makosa tu ya kibinadam ya kiuandishi
ni umbali gan toka barabarani..vimepimwa je na vina hatiWadau habarini za asubuh. Nauza maeneo yangu yaliyoko dege jiran na "magorofa ya dege" kigambon. Viko viwili sehem moja na kila kimoja kina ukubwa wa mita 23*25. Viko kama mita 60 kutoka barabaran na Havijapimwa. Bei ni milion 6 kwa kila kimoja. Kuna umeme na barabara ya lami kutokea ferry. Karibuni tafadhali. Napatkana 0713806766.