Plot4Sale Nauza kiwanja Kigamboni Kibada 972 sqm Tzs. 25m

Manumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2019
Posts
1,244
Reaction score
697
Kiwanja kipo 2Kms kutoka KIBADA kuingia barabara ya mtaani

Tayari kumejengeka na nyumba za kifahari

Eneo: 972 Sqm (Pameshapimwa na mawe tayari yameshawekwa)

Nyaraka: Mauziano ya Serikali ya mtaa

Bei: TZS. 25m

Mawasiliano: 0717 650800

 
Kiwanja bado kipo [emoji1666]
 
Hilo eneo lina deserve kabisa hiyo bei , ukiwa na subira utaipata hiyo hela
 
Kutoka lami mpaka kiwanjani ni umbali gani?
Umeme na maji vipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…