Plot4Sale Nauza Kiwanja kigamboni maeneo ya Puna mil 6

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Asalaam alaikum
Nawatangazia kua nina kiwanja nauza ambacho kina sifa zifuatazo

. Kiwanja kipo maneno ya Kigamboni maeneo ya puna
. Kutoka barabara kuu ni meter 50
. Kiwanja kimepimwa na tayari kina hati
. Umeme umefika kwenye eneo
. Ukubwa wa kiwanja ni sqm 520
. Kiwanja kina mitaa miwili
. Eneo ni tambarale hakuna mwinuko wala bonde
. Kwa mawasiliano 0762987034
Asante sana

 
Bado kipo?
 
Viwanja vya Kigamboni ukisema umbali kutoka kivukoni au darajani unakuwa umelitendea Haki tangazo lako
 
Puna magengeni au double kibini?. Cha barabarani kabisa ua ndani?,upande wa Beach au upande mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…