Plot4Sale Nauza kiwanja kiko kiembeni kiharaka

Plot4Sale Nauza kiwanja kiko kiembeni kiharaka

naninibaraka

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
910
Reaction score
669
Ninauza viwanja 2 vilivyoshikana jumla vina sqm 3614..
Kuna maji ya kisima
Dawasco
Na umeme wa 3 phase umefika

Kinafaa
Kwa makazi
Shule
Guest house/ lodge
Kanisa
 
Tangazo lako halijajitosheleza mkuu,ongezea nyama kidogo
 
Hujaweka bei wala mawasiliano yako Kwa atakaekuwa na uhitaji.au wewe unaona limekamilika?
 
Mkuu sio wote wanapajua huko kiembeni kiharaka,fafanua ni Kiembeni kiharaka ya Mpiji/Mbweni/Mapinga/Mingoi Bagamoyo au Kiembeni ya Zanzibar?
 
Bei gani mkuu? Kiwanja kimepimwa? Kina hati? Malipo unapokea kwa awamu ngapi?
 
Bei gani mkuu? Kiwanja kimepimwa? Kina hati? Malipo unapokea kwa awamu ngapi?

Mkuu ni surveyed plot, ukitaka title unatengenenezewa tu ! Malipo tunapokea kwa awamu 2
 
Mashaka makubwa Haya!!, naona huyu ni dalali mnapoteza muda wenu wakuu?

Mkuu kwani dalali siyo mtu?? Mbona ni sector iliyoajir vijana wengi?? Na kaz zao zinatambulika? Hii ni open business ndiyo maana number za simu ziko!! Interested pls call
 
Back
Top Bottom