naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
Tangazo lako halijajitosheleza mkuu,ongezea nyama kidogo
Hujaweka location, hujaweka bei,hujaweka mawasiliano ....Mkuu kuna taarifa sijaweka??
Hujaweka location, hujaweka bei,hujaweka mawasiliano ....
Bei gani mkuu? Kiwanja kimepimwa? Kina hati? Malipo unapokea kwa awamu ngapi?
Mnapokea wewe na nani?Mkuu ni surveyed plot, ukitaka title unatengenenezewa tu ! Malipo tunapokea kwa awamu 2
Nna Milioni mojaNinauza viwanja 2 vilivyoshikana jumla vina sqm 3614..
Kuna maji ya kisima
Dawasco
Na umeme wa 3 phase umefika
Kinafaa
Kwa makazi
Shule
Guest house/ lodge
Kanisa
Nna Milioni moja
Mnapokea wewe na nani?
Mashaka makubwa Haya!!, naona huyu ni dalali mnapoteza muda wenu wakuu?Mkuu piga simu uelekezwe biashara ilivyo
Mashaka makubwa Haya!!, naona huyu ni dalali mnapoteza muda wenu wakuu?